Ufaulu wa Darasa la saba 2019 umepanda kiwango kutoka 87% ya mwaka 2018 hadi 91.67% kwa mwaka 2019 na kupelekea Mkoa kushika nafasi ya 2 Kitaifa baada ya Mkoa wa Dar es Salaam.Huku halmshauri ya Jiji la Arusha ikishika nafasi ya kwanza Kitaifa kwa Halmashauri zote nchini na Halmashauri ya Arusha ikishika nafasi ya 10.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.