ICT-TEHAMA

on .

(ICT) TEHAMA

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha inaendelea kusimamia kikamilifu zoezi la uboreshaji wa huduma mbalimbali kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). Ni kwa njia hii, Serikali huitwa Serikali-Mtandao. Katika kufanikisha hilo, Ofisi inatekeleza zoezi hili (Kujenga miundo-mbinu na uwezo wa kutumia) kwa awamu.

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeunganishwa kwenye Mtandao kwa Teknolojia ya nyaya (Copper Cable) ili kuwawezesha watumishi wote kuongeza ufanisi wa utendaji wao wa kazi.

Katika kuboresha shughuli za kiofisi na kwendana sanjari na teknolojia mpya ya mawasiliano.Ofisi ipo katika mchakato wa kujiunga na mkongo wa wataifa.

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupitia Kitengo cha Tehama imekuwa ikitekeleza majukumu yake ya kusimamia mifumo mbalimbali kama epicor 9.0, LAWSON na mingineyo.

Mifumo katika Ofisi za Serikali  

Idadi ya ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri katika Mkoa wa Arusha zilizounganishwa kwenye Mifumo wa Fedha(epicor 9.0) zimeongezeka kutoka 5 (2008) hadi 7 (2013), ambapo mwaka 2013 ofisi ziliunganishwa kwenye mfumo ni:.

Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Longido

Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Ngorongoro

  Huduma za Mawasiliano  

Mwaka 1996 kulikuwa na simu za mezani 6,163 katika Mkoa wa Arusha ikilinganishwa na kiwango cha sasa 2,021. Idadi ya simu za mezani imekuwa ikipungua kutokana na kuongezeka kwa simu za mkononi ambazo husadikika kwamba ndio njia bora mawasiliano.

Jedwali 1 linaonesha mtawanyiko wa huduma za mawasiliano.

In addition we have National ICT Backbone services (NICTBB) in Arusha City and Namanga that has tremendously improved quality of internet communication service in Arusha Region and all over Tanzania. Despite the high quality of service, the NICTBB has as well reduced internet prices (tariff) by more than 100%. Below is the attached NICTBB diagram that shows NICTBB coverage in Tanzania so far.

Bonus William Hill
Bonus Ladbrokes
Premium Templates