Sekta ya ardhi kwa mkoa wa Arusha inaendelea kufanya yafuatayo;
1. Utatauzi wa migogoro hadi sasa migogoro 157 imeshatatuliwa.
2.Umilikishwaji wa ardhi kwa wananchi- hati miliki za kimila 3,766 zimetolewa navijiji 72 vimeandaliwa matumizi bora ya ardhi na vijiji 172 vimepatiwa vyeti vya vijij.
3.Upimaji wa maeneo ni kama ifuatavyo;
i) Jiji la Arusha 68
ii) Wilaya ya Arusha 12
iii) Wilaya ya Meru 20
iv) Wilaya ya Monduli 8
v) Wilaya ya Karatu 323
vi) Wilaya ya Longido 3
vii) Wilaya ya Ngorongoro 5
4.Maeneo ya uwekezaji
i) Halmashauri ya Meru ekari 3000 zimetengwa
ii) Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ekari 100
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Sanduku la Barua: 3050 Arusha
Simu: 27 254 5608
Simu Nyingine: 027 254 4950
Barua Pepe: ras@arusha.go.tz
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa