• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumenu
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Misitu
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Ufugaji
    • Utalii
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

GAMBO AFANYA KIKOA NA WAFANYABIASHARA WADOGO WA MADINI

Posted on: March 25th, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo amewapiga marufuku polisi wa Mkoani Arusha kuwasumbua ovyo wafanyabiashara wadogo wa madini(Brokers) katika maeneo yao yakufanyia biashara bila kufuata utaratibu maalumu.

Ameyasema hayo alipokuwa akifunga kikao chake na wafanyabiashara hao katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa, kikiwa na lengo lakusikiliza kero zao na kuongeza ushirikiano baina ya wafanyabiashara hao na serikali yao ya Mkoa wa Arusha.

“Ninamwagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kuanzia sasa kusimamisha zoezi hili lakuwasumbua hawa wafanyabiashara wadogo wa madini katika maeneo yao ya biashara bila kufuata taratibu”.

Aidha Gambo amewaagiza Kamishina wa Mamlaka ya mapato (TRA) Arusha na ofisi ya madini kanda ya Kansazini kuandaa mpango maalumu wakutoa elimu kwa wafanyabiashara wadogo wa madini wa Mkoa wa Arusha juu ya  utoaji wa leseni za madini na ulipaji wa kodi.

Alisema hayo baada ya wafanyabiashara hao kutoa malalamiko yakutoelewa taratibu za upatikanaji  wa leseni za madini na pia hawana elimu tosha juu ya ulipaji kodi kwani wengi wanaona wanatozwa kodi kubwa ambazo haziendani na hali halisi ya biashara zao wanazofanya.

Akisisitiza zaidi Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha,Charles Mkumbo amesema jeshi la polisi la Mkoa wa Arusha litaendelea kudumisha ulinzi na usalama kwa wananchi wote na mali zao.

Hivyo kawataka wafanyabaishara wadogo wa madini wa Mkoa wa Arusha kuwa na imani na jeshi lao la polisi kwani litaendelea kuwalinda wao na malizao na hata kwa wale waliokamatwa nakunyang’anywa madini yao, ofisi yake itafuatilia iliwanaostaili kurudishiwa watapewa mali zao.

Kamishina wa mamlaka ya mapato Arusha(TRA) bwana,Ambili Mbaluku amesema ni vizuri wafanyabaishara hao wakajitaidi kulipa kodi kadri ya mapato yao kwasabau serikali inategemea kodi hizo katika shughuli mbalimbali za maendeleo ya jamii na wao watajitaidi kutoa elimu zaidi juu ya ulipaji kodi mzuri.

Pia kamishina wa madini kanda ya Kansazini Adam Juma amesema nivizuri wafanyabaishara hao wakakata leseni kwaajili yakuendesha shughuli zao kihalali huku wakitambulika na mamlaka husika kuwa niwafanyabiashara halali wa madini.

Mkuu wa Mkoa Gambo alimalizia kwakuwaadi kuendelea kukutana nao mara kwa mara angalau kila baada ya miezi mitatu na wafanyabiashara hao ilikufanya tathimini ya mambo mbalimbali ambayo wamekubaliana kama yatakuwa yamefanyiwa kazi na pia kama kutakuwa na mengine yaliyojitokeza.

Pia amewata wafanyabiashara hao wadogo wa madini kukaa pamoja na kamishina wa madini  wa kanda ili kuchagua uongozi wa mda wa chama chao kwakuwa uongozi uliopo ulionekana kutokubalika na wanachama  walio wengi, na uongozi huo utakuwa ukishughulikia matatizo na kero za wanachama wake kwa ukaribu zaidi.

Tangazo

  • Viwango Vya Leseni Mbalimbali April 04, 2018
  • UPATIKANAJI WA LESENI ZA CLUB March 09, 2018
  • Tangazo kwa Wananchi wote July 01, 2017
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2018 December 21, 2017
  • Angalia Zote

Habari za Mpya

  • Wakulima wa Vitunguu Kunufaika na Ghala

    April 18, 2018
  • TUNAENDELEA KUENZI MAZURI YA SOKOINE-MAJALIWA

    April 12, 2018
  • DUMISHENI AMANI YA NCHI-MAGUFULI

    April 09, 2018
  • SIKU YA UPANDAJI MITI

    April 09, 2018
  • Angalia Zote

Video

Ziara ya Rais Mkoani Arusha
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa