Waziri wa Nchi ofisi ya waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu,Mhe.Jenista Muhagama akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Kanda ya Kaskazini baada yakufunga maonyesho ya sherehe za nane nane.
Posted on: August 10th, 2017
Waziri Jenista Muhagama (MB) afunga rasmi maonyesho ya sherehe za wakulima na wafugaji kwa kanda ya Kaskazini.