Katika sekta hii Mkoa unaendelea kuhamasisha ufugaji wa kisasa wa Ng'ombe wachache wenye tija.
1.Ujenzi wa Majoshi yakuogeshea mifugo.
2.Upatikanaji wa Soko maalumu la kuuzia mifugo.
3.Upatikanaji wa Soko la bidhaa zinazotokana na Ng'ombe kama vile; Ngozi Maziwa na Nyama.
4.Uwazishwaji wa Viwanda vya kusindika Nyama na Ngozi.
5.Uwazishwaji wa Viwanda vyakutengeza bidhaa zinazotokana na Maziwa ya Ng'ombe.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Sanduku la Barua: 3050 Arusha
Simu: 27 254 5608
Simu Nyingine: 027 254 4950
Barua Pepe: ras@arusha.go.tz
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa