Sunday 16th, November 2025
@ARUSHA
Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais utafanyika tarehe 29.10.2025.
Vituo vyote vitafunguliwa kuanzia saa 01:00 asubuhi na kufungwa saa 10:00 jioni.
Hakikisha unatumia haki yako ya kikatiba kupiga kura kuchagua viongozi wako watakaokuhudumia kwa miaka 5.
Kura Yako, Haki Yako, Jitokeze Kupiga Kura Oktoba 29,2025
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa