• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

Manunuzi na Ugavi

             MAJUKUMU YA KITENGO CHA MANUNUZI

Kutokana na Muundo wa Sekretariati za Mikoa pamoja na Sheria namba 7 ya manunuzi ya Umma ya mwaka 2011 na kanuni zake za toleo namba GN. 446 ya 20/12/2013, majukumu  ya kitengo cha manunuzi yameainishwa kama ifuatavyo:-

Kusimamia shuguli za taasisi nunuzi ( Sekretarieti ya Mkoa, hospitali yaMkoa na Wilaya kwa ujumla)  ikiwemo manunuzi ya vifaa, huduma na ujenzi  kwa njia sahihi zilizo idhinishwa kwa mujibu wa Sheria ya Manunuzi ya Umma ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013

Kuandaa mpango wa manunuzi wa Mkoa na kupitia mipango ya manunuzi ya Halmashauri za Wilaya zote kama imeandaliwa kwa mujibu wa miongozo ya PPRA (standard documents).

Kusaidia kazi za Bodi ya Zabuni.

Kutekeleza maamuzi na maelekezo ya Bodi ya Zabuni.

Kuwa sekretariet katika vikao vya Bodi ya Zabuni.

Kuandaa nyaraka za zabuni kwa mujibu wa miongozo ya PPRA.

Kuandaa matangazo ya Zabuni.

Kuandaa mikataba ya Zabuni ya Sekretarieti ya Mkoa, hospitali ya Mkoa na pia kupitia mikataba ya manunuzi ya Halmashauri iliyo andaliwa kwa kufuata miongozo ya PPRA.

Kutunza kumbukumbu za michakato ya manunuzi na ufutaji wa vifaa vilivyoisha muda wake (disposal of asset).

Kuandaa na kutunza rejista ya mikataba iliyo sainiwa baina ya Mkoa na wadau wa manunuzi.

  • Kuandaa taarifa za kila mwezi/robo kwa ajili ya Bodi ya ZaKuandaa na kuwasilisha kwenye kikao cha menejiment ripoti za kila robo ya mwaka na utekelezaji wa mpango wa manunuzi wa mwaka wa Mkoa.
  • Kushiriki katika kutoa majibu ya hoja za ukaguzi.

                  MAFANIKIO:

Kitengo cha kusimamia manunuzi kimeonesha mafanikio makubwa katika kutoa ushauri wa kitaalam wa masuala ya manunuzi katika ngazi ya Mkoa na Wilaya, mafanikio katika kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia sheria na taratibu za ununuzi wa Umma kwanzia sheria namba 21 ya mwaka 2004 na kanuni zake za mwaka 2005 mpaka sasa kinatekeleza majukumu kwa kuzingatia sheria namba 7 ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013 ambazo zimefanyiwa marekebisho mwaka 2016.

Mafanikio hayo yametokana na ushirikiano mkubwa wa Seksheni mbalimbali na  Vitengo katika Sekretariet ya Mkoa kwani wamekuwa makini katika kutekeleza masuala ya manunuzi kwa kuzingatia sheria na taratibu.

 Mafanikio ya kitengo pia hupimwa na kaguzi mbalimbali zinazoendeshwa na Mamlaka ya kudhibiti na kusimamia manunuzi ya Umma, kwani katika vipindi tofauti kuanzia mwaka 2006/2007, 2008/2009, 2011/2012, 2014/2015 wamekuwa wakifanya ukaguzi katika Mkoa wa Arusha na kutoa matokea ya utendaji kazi katika masuala ya manunuzi ya Umma kwa kutumia viashiria mbalimbali (indicators).

     

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa