Posted on: December 24th, 2023
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella ana watakia wananchi wote Kheri ya Sikuuu ya Krismasi na mwaka mpya 2024.
"TUHSEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU"
...
Posted on: December 23rd, 2023
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella, ametembele na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa shule mpya sekondari ya Wasichana Orbomba, wilaya ya Longido.
Mhe. Mo...
Posted on: December 22nd, 2023
Na Elinipa Lupembe
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi, wa shule mpya ya sekondari Engarnaibor, kata ya Mundarara wilaya ya Longido, mradi uliotekelezwa ...