Posted on: December 9th, 2023
Katika kusherehekea miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua Mchakato wa ukusanyaji maoni kutoka kwa wananchi kuhusu Dira ya Taifa ya...
Posted on: December 8th, 2023
Na Elinipa Lupembe
Serikali ya awamu ya sita, imejipanga kuzipa makazi ya kudumu kaya zilizokosa makazi Kateshi, kufuatia maafa yaliyotokana na kumeguka sehemu ya mlima Hanang'  ...
Posted on: December 7th, 2023
Na Elinipa Lupembe.
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella, amezindua kadi ya kielektroniki ya Kimataifa ya huduma za kifedha 'Amercan Express CARD',itakayotumika kwenye Mashine za...