Posted on: November 24th, 2023
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, ameondoka nchini jioni ya leo, na kusindikizwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohamed Bashe, akiambatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K.Mong...
Posted on: November 24th, 2023
Rais wa Sudan Mhe. Salva Kiir Mayardit, amekuwa Mwenyekiti wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baaaya kupokea kijiti kutoka kwa Rais wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, ambaye...
Posted on: November 24th, 2023
Na Prisca Libaga Arusha
Serikali ya awamu ya sita imesisitiza kwamba itaendelea kuboresha Miundombinu ya Taasisi ya Maendeleo ya Jamii ya Tengeru (TICD) iliyopo Mkoa wa Arusha, wilaya ya A...