Posted on: June 30th, 2023
Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 umepitia jumla ya miradi 9 katika halmshauri ya Jiji la Arusha nakuridhishwa na miradi 8 kati ya 9.
Akizungumza katika hitimisho la ziara hiyo Kiongozi wa mbio za M...
Posted on: June 29th, 2023
Mwenge wa Uhuru umepitia jumla ya miradi 8 katika halmshauri ya Meru nakuridhishwa na miradi hiyo.
Akizungumza katika hitimisho la ziara hiyo Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Bwana...
Posted on: June 28th, 2023
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Abdalla Shaib Kaim ameridhishwa na miradi 8 ya maendeleo ambayo Mwenge wa Uhuru imepitia katika halmashauri ya Arusha.
Amesema, miradi yote ipo vizuri ni mapunguf...