Posted on: May 19th, 2022
NENDENI MKAWEKEZE KATIKA FEDHA ZA TASAF ILI ZIWAINUE KIUCHUMI.
Wanufaika wa fedha za TASAF wametakiwa kutumia fedha hizo katika kuzalisha ili wakuze uchumi wa kaya zao.
Hayo yames...
Posted on: May 17th, 2022
Katibu Tawala mkoa wa Arusha Dkt.Athuman Kihamia leo ameitisha kikao kazi cha uboreshaji utoaji wa huduma za afya kati ya RHMT, wakurugenzi wa halmashauri zote saba za mkoa wa Arusha pamoja na waganga...
Posted on: May 16th, 2022
Halmashauri za wilaya ya Monduli,longido na Arumeru zimetakiwa kufanya jitihada zaidi katika uchangiaji wa fedha zinazotengwa na halmashauri kwa ajili ya lishe ili kupunguza changamoto ya lis...