Posted on: May 21st, 2021
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta, amemkabidhi rasmi ofisi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella mapema Leo hii, May 21,2021.
...
Posted on: May 7th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Iddi Hassan Kimanta amekabidhi kiasi cha shilingi Milioni 11 kwa vituo vya kulelea watoto yatima na kwa Bw. Allan Shomari, mchezaji wa zamani wa mpira ...
Posted on: May 5th, 2021
Shirika lisilo la kiserikali World Vision Tanzania limekabidhi miradi miwili ya Maji na Shule yenye thamani ya Milioni 820 kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha baada ya kumaliza ujenzi wake.
Makabidhiano hay...