Posted on: February 6th, 2021
Misa ya mazishi ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Marehemu Richard Kwitega, inaendelea katika kanisa la Katoliki la Mtakatifu Benedicto, Parokia ya Ngoma, wilaya ya Sengerema.
...
Posted on: February 5th, 2021
Mkuu wa mkoa wa Arusha, mheshimiwa Idd Kimanta, amewaongoza wakazi wa mkoa wa Arusha na vitongoji vyake, kuuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, marehemu Richard Kwitega, shughuli iliy...