Posted on: January 21st, 2021
Halmashauri za Mkoa wa Arusha zimetakiwa kwenda kusimamia mapato katika maeneo yao, ili fedha hizo zikaisaidie serikali katika kuboresha huduma mbalimbali za maendeleo.
Agizo hilo limetolewa na Mku...
Posted on: January 8th, 2021
Wakuu wa shule zote za Sekondari Mkoani Arusha wametakiwa kuhakikisha wanatokomeza daraja la zero katika matokeo ya kidato cha nne kuanzia mwaka huu 2021.
Maagizo hayo yametolewa na Mkuu w...
Posted on: December 19th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta, ametoa wito kwa vyama vya Michezo Mkoani Arusha kuandaa timu zao vizuri ili ziwezi kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali.
Pia ametoa wito kwa  ...