Posted on: March 23rd, 2019
Kamati ya ushauri ya Mkoa wa Arusha umepitisha mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya kiasi cha shilingi bilioni 263.2 kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo ...
Posted on: March 22nd, 2019
Baadhi ya wajumbe wa bodi ya barabara ya Mkoa wa Arusha, wakisikiliza mawasilisho ya bajeti ya barabara kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Wajumbe wa bodi ya barabara ya Mkoa wakilsiliza mawasil...
Posted on: March 21st, 2019
Watumishi wa Mkoa wa Arusha wahimizwa kufanya kazi kwa bidii kwa kuzingatia maadili ya utumishi watu ili kuleta maendeleo katika Mkoa, kwani hakuna haki bila wajibu.
Yamesemwa hayo na Katibu Tawala...