Posted on: September 14th, 2018
Milioni 469 zimetumika katika ujenzi wa kituo cha afya Mto wa Mbu wilayani Monduli.
Akisoma taarifa ya mradi huo Mganga mkuu wa kituo cha afya Dr. Emma Agostino Msofe, amesema ujenzi wa kituo hicho...
Posted on: September 6th, 2018
Mwenge wa uhuru utawasili katika mkoa wa Arusha Septemba 12,2018 ukitokea mkoani Mara.
Utapokelewa Olduvai Gorge kata ya Ngoile wilayani Ngorongoro.
Ukiwa katika mkoani wa Arusha utakimbizwa kat...
Posted on: August 29th, 2018
Watakaogundulika wana maambukizi ya virusi vya UKIMWI wanatakiwa kuwaleta wenza wao wapimwe pia ili waweze kujitambua na kuishi mda mrefu.
Ameyasema hayo Mkuu wa Wilaya ya Monduli Idd K...