• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

Mipango na Uratibu

•Taarifa ya Takwimu mbalimbali za Kisekta•Taarifa hii huandaliwa kila baada ya miezi sita,taarifa hii husaidia viongozi wa Wilaya, Mkoa, Taifa kujua kiwango cha ukuaji wa sekta mbalimbali•5.  Taarifa ya Mkoa kwa Viongozi wa Kitaifa (Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu) pale wanapofanya ziara ya kikazi katika Mkoa wetu.•6.  Taarifa ya makabidhiano (Handing over), huandaliwa pale yanapotokea mabadiliko ya uongozi wa Mkoa (RC au RAS) • MAJUKUMU YA SEKSHENI

Kwa mujibu wa Planning and Management Guidelines (PMG) II ya mwaka 2011 majukumu ya Seksheni ya Mipango na Uratibu ni Kama ifuatavyo:-

  1. Kuratibu Uchumi wa Mkoa kwa kukusanya tawimu zote zinazotumika kupima na kutafsiri hali ya uchumi wa Mkoa
  1. Pato la mkoa
  2. Pato la mtu
  3. Wasifu wa mkoa
  4. Sekta za vipaumbele kiuchumi
  • Kuratibu mashirika yasiyokuwa ya Serikali
  1. Kusimamia sera ya NGOs ya mwaka 2002
  2. Kusimamia sheria ya NGOs ya mwaka 2002
  3. Kusimamia maadili ya NGOs ya mwaka 2008
  1. Usajili
  2. Ukaguzi
  3. Kupitia taarifa zao za utekelezaji
  4. Kuishauri Wizara husika kuhusu mwenendo wa NGO .

   3. Kutafsiri Sera na Miongozo ya Kisekta kwa MSM na wadau mbali mbali wa maendeleo

  1. Mwongozo wa bajeti
  2. Kusimamia ratiba ya bajeti kwa mujibu wa sheria ya bajeti Na. 11 ya mwaka 2015
  3. Kuratibu na kusimamia uandaaji Bajeti ya Mkoa (RS & LGAs)
  4. Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa miaka 5.
  5. Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 1.
  6. Kuandaa taarifa za Utekelezaji wa bajeti ya Mkoa (PE, OC, na Dev.)
  7. Kufanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika kila robo ya mwaka ya utekelezaji, katika Halmashauri zote 7 na kutoa ripoti na ushauri, juu ya hatua za kuchukuliwa katika maeneo ya utekelezaji yenye mapungufu, kwa lengo la kuokoa fedha za serikali na kuhakikisha lengo la kutoa huduma kwa wananchi husika linafikiwa .

4. Kuratibu vikao vya Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC)

  1. Kuandaa mada za kikao
  2. Kuandaa Mhutasari wa kikao
  3. Kuandaa yatokanayo na vikao vilivyopita
  4. Kuandaa bajeti ya vikao hivyo na kuiwasilisha kwa RAS

Majukumu mengine

Kuratibu shughuli za Maafa katika Mkoa

6. Kuratibu na Kusimamia fedha za Wafadhili

7. Kusaidia MSM kuandaa Miradi ya Maendeleo

8. Kusimamia Sensa ya Watu na Makazi (M)

9.Kukukusanya  Takwimu muhimu kutoka katika Halmashuri,  kushirikiana na Ofisi ya Takwimu Taifa (Mtakwimu Mkoa) katika kuzichambua na kuunganisha taarifa yenye takwimu sahihi, ili kuweza kuboresha Social Economic Profile ya Mkoa.

Kutokana na Majukumu tajwa hapo juu, Seksheni ya Mipango na Uratibu huandaa taarifa mbalimbali zifuatazo.

1.1.  Kuandaa Action Plan na Cash Flows  (RS na LGAs) hii ni kwa mujibu wa sheria ya Bajeti Na. 11 ya mwaka 2015 kifungu cha 44(1-4). Mwongozo wa kuandaa Action Plan na Cash Flow huandaliwa kila mwaka

1.2. Taarifa za Utekelezaji wa bajeti kila mwaka wa fedha. (Sheria ya Bajeti Na. 11 ya Mwaka

Taarifa za Utekelezaji wa bajeti kila mwaka wa fedha. (Sheria ya Bajeti Na. 11 ya Mwaka 2015  kifungu cha 53)

i.Robo ya kwanzaii.Nusu mwakaiii.Robo ya tatuiv.Taarifa ya mwakav.Format ya taarifa hizo hutolewa kwenye Mwongozo wa bajeti kila mwaka

Taarifa za utekelezaji wa maagizo ya Viongozi wa Kitaifa (Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu) pamoja na yatokanayo na ziara za viongozi hao katika Mikoa mbalimbali.

3.Taarifa za kila wiki kwenda kwa Waziri Mkuu

Kutoa taarifa kwa matukio yote makubwa katika Wilaya yako/Mkoa wako (kila siku ya Ijumaa kabla au ifikapo saa 7.00 mchana ni lazima taarifa hiyo iwasilishwe, hata kama hakuna tukio ni lazima iwasilishwe

•Taarifa ya Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali (NGOs), taarifa hizi huwasilishwa Wizara husika kila baada ya miezi 3•8.  Taarifa za ukaguzi wa miradi ya maendeleo (Mkoa na Halmashauri za Wilaya/Jiji).  Taarifa hizi huwasilishwa kila baada ya miezi 3 na hasa baada ya ukaguzi wa miradi hiyo.•9. Taarifa za mikopo ya wanawake na Vijana kila robo mwaka•10.  Taarifa za ukatili wa kijinsia (pale inapotokea •

•Taarifa ya idadi ya Maafisa Maendeleo ya Jamii (TANGE) hutolewa kila robo mwaka•12.  Taarifa za Mapambano dhidi ya maambukizi ya VVU/Ukimwi (Financial & Physical)


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa