• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

Uchumi na Uzalishaji Mali

Seksheni hii inajishughulisha na kutoa utaalamu na huduma mbalimbali zinazohusiana na Mifugo,Kilimo,Uvuvi,Ushirika,Utalii,Misitu, Wanyama pori,Biashara na Viwanda (Uwekezaji) kwenye Sekretarieti ya Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.

Majukumu ya seksheni ya Uchumi na Uzalishaji Mali

  • Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Kilimo, Mifugo, Ushirika, Misitu, Wanyama pori, Ufugaji samaki, Viwanda na masoko.
  • Kuzijengea uwezo MSM katika utekelezaji wa shughuli za Kilimo, Ufugaji, Ushirika, Misitu, Wanyamapori, Viwanda na biashara.
  • Kuzishauri MSM kuhusu teknolojia sahihi na rahisi  za sekta ya Uchumi na Uzalishaji Mali.
  • Kusajili vyama vya Ushirika Mkoani.
  • Kushauri MSM kuhusu uanzishaji na ukaguzi wa vyama vya ushirika na vya akiba na mikopo (SACCOS).
  • Kushauri MSM kuhusu uanzishwaji na uendelezaji wa miradi midogo na ya kati.
  • Kusaidia na kushauri MSM kutambua maeneo ya Uwekezaji katika maeneo yao.
  • Kusaidia na kuwezesha MSM katika uendelezaji wa Sekta ya ufugaji samaki 
  • Kufuatilia, kuratibu na kuwezesha masuala yanayohusu Misitu katika mkoa.
  • Kushauri juu ya matumizi ya sheria na kanuni zinazohusiana na hifadhi na uendelezaji wa wanyama pori
  • Kuzisaidia na kuzishauri Halmashauri kuendeleza maeneo ya wanyamapori.
  • Kushauri MSM katika ufuatiliaji shughuli za utalii, idadi na mtawanyiko wa wanyamapori.
  • Kuwezesha MSM katika utekelezaji wa Sera ya Mazingira namba 2 ya mwaka 2004
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa MSM kuhusu uendeshaji wa skimu za umwagiliaji
  • Kuratibu utekelezaji wa uboreshaji wa shughuli za kibiashara katika mkoa.
  • Kushiriki katika hatua za kutambua mapungufu na mahitaji ya mafunzo kwa watumishi wa MSM kuhusu matumizi ya fursa na vikwazo.
  • Kushiriki katika kutambua mahitaji ya mafunzo na kujenga uwezo kwa watumishi wenye uhitaji.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa