• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

Miundombinu

Ofisi ya Meneja Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Arusha inahudumia jumla ya Km 581.14 za Barabara Kuu (Trunk roads) na km. 895.31 Barabara za Mkoa (Regional roads). Kati ya hizo, Km 425.35 ni barabara za lami sawa na asilimia 29.8 na sehemu iliyobaki yenye Km 1051.10 sawa na asilimia 70.2 ni barabara za changarawe. Barabara Kuu (Trunk Roads) zina jumla ya Km 582.7 ambazo kati ya hizo, Km 368.04 sawa na asilimia 63.3 ni za kiwango cha lami, na Km 213.1 zilizobaki sawa na asilimia 36.70 ni za changarawe/udongo. Aidha, Barabara za Mkoa (Regional Roads) zina jumla ya Km 895.31 kati ya hizo Km 57.31 sawa na asilimia 6.40 ni barabara za lami na Km 838.00 sawa na asilimia 93.60. ni za changarawe/ udongo. Aidha, urefu wa barabara umeendelea kuongezeka kutoka 1476.45km 2020 hadi km 1494.45 kutokana na urefu km 18.0 kupandishwa hadhi (gazetted). (Barabara ya Mianzini-Timbolo (18 km).

Serikali imeendelea kuimarisha barabara nchini zinazounganisha nchi yetu na nchi Jirani, Makao Makuu ya Mkoa na Makao Makuu ya Wilaya kwa barabara zinazopitika kwa wakati wote.

Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2021/22 kiasi cha shilingi milioni 7207.54 kilitengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya barabara inayosimamiwa na TANROADS Mkoa wa Arusha. Ambapo hadi kufikia mwezi Machi, 2022 kiasi cha shilingi milioni 420.86 kilipokelewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Kijenge -Usa River, Minazini-Ngaramtoni, Longido-Oldonyolengai, Tengeru-Merereni na Kia-Majengo na kiasi cha shilingi milioni 415.104 kilitumika kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Kijenge -Usa River na Kia-Majengo.

Mafanikio yaliyopatika katika matengenezo ya barabara za katika kipindi cha mwaka mmoja wa Serikali ya awamu ya Sita ni kama ifuatavyo:

  • Mto wa Mbu-Loliondo (217km), sehemu ya Wasso-Sale, km 49 

Barabara yenye urefu wa Kilometa 49 katika Barabara ya Mto wa Mbu-Loliondo (217km) imejengwa kwa kiwango cha lami imekamilika kutoka Wasso hadi Sale umefikia asilimia 97 % na inatumika. Barabara hii imejengwa kwa kiwango cha lami kwa gharama ya shilingi bilioni 87.3

  • Ujenzi wa barabara ya Mianzini hadi Ngaramtoni yenye urefu wa kilomita 18 kwa kiwango cha lami. Mkataba umeshasainiwa na ujenzi unategemewa kuanza muda wowote kuanzia sasa.
  • Ujenzi wa Mizani ya kisasa Kimokouwa Wilaya ya Longido Gharama ya mradi huu ni milioni 14,035.97.

Ujenzi wa Mzani wa kisasa wa kupima magari yakiwa kwenye mwendo katika eneo la Kimokouwa barabara ya Arusha hadi Namanga umekamilika kwa asilimia mia 100 na magari yanapimwa yakiwa katika mwendo.

  • Mradi wa upanuzi wa Barabara ya kupandia Mlima Karatu-Kilimatembo unaendelea.
  • Uboreshaji Wa Barabara ya Kijenge Usariver kuwa lami Umekamilika
  • Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina umekamilika kwa barabara zitakazojengwa kwa kiwango cha lami kama zifuatazo; barabara ya Arusha-Kibaya-Kongwa, Sehemu ya Arusha-Losinyai (28 km) na T/Packers-Losinyai (26km) inayounganisha Mkoa wa Arusha, Manyara na Dodoma, barabara ya Karatu hadi Matala yenye urefu wa kilomita 129 km na Ukarabati wa kiwanja cha ndege Lake Manyara. Ujenzi wa barabara ya T/Packers - Losinyai kwa kiwango cha lami umeanza kwa fedha za matengenezo kilomita 1.05.

Miradi inayotekelezwa na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)

TARURA- Kwa mwaka wa fedha 2020/2021 hadi kufikia Februari 2022 Mkoa wa Arusha umetekeleza asilimia 90.86 ya miradi yote.

  • Ujenzi wa Daraja ya Endallah Wilaya ya Karatu mita 40 Gharama ya mradi huu ni millioni 297,855,985.
  • Ujenzi wa Barabara ya Changarawe NMC - Gibbs Farm
  • Uwekaji wa tabaka la lami barabara ya Boma Siara
  • Ujenzi wa Kalvati sanduku lenye urefu wa mita 12.5 midomo mitatu Barabara ya Lengorwa-Lemoot Halmashauri ya Monduli
  • Ujenzi wa daraja la Hospitali ya wilaya ya Ngorongoro mita 17 umekamilika
  • Daraja la Mawe Longido-Mairouwa-Matale lenye urefu wa km 10.8 midomo mitatu
  • Ujenzi wa Barabara ya Sangisi –Nambala Kiwango cha Lami urefu km 1.9 Halmashauri ya Meru

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa