• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

ARUSHA IMEJAA FURSA, TUZIANGALIE KWA JICHO LA UWEKEZAJI - RC NAKONDA

Posted on: May 3rd, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Makonda, leo Mei 03, 2025, amefungua rasmi Jukwaa la Uwekezaji la Mkoa wa Arusha linalofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, akisisitiza umuhimu wa Watanzania hasa wakazi wa Arusha, kuona na kutumia fursa zilizopo ndani ya mkoa huo 



Mheshimiwa Makonda amesema kuwa lengo kuu la jukwaa hilo ni kuwapa wananchi uelewa wa kina kuhusu namna ya kuwekeza kwenye sekta mbalimbali za uchumi zinazokua kwa kasi mkoani humo, akisisitiza kuwa haipaswi tu kuwa wasikilizaji wa mada, bali wachukua hatua.



“Tunategemea viongozi na wataalam waliokuja hapa watuambie tukitoka hapa fedha zinapatikanaje na wananchi wawekeze fedha zao wapi ili wasipate hasara,” amesema.



Akitoa mfano wa fursa iliyopo sasa, Mhe. Makonda ametaja mashindano ya AFCON yanayotarajiwa kufanyika katika mkoa wa Arusha, amesema kuwa, Mbali na kushangilia mpira, ni vyema kujua Watanzania watanufaika vipi kiuchumi. 



Ameongeza kuwa mkoa wa Arusha ni mkoa wenye neema ya miradi mikubwa ya maendeleo iliyoanzishwa chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, laikini  wananchi walio wengi hawawafahamu fursa hizo zinazopatikana kwenye miradi hiyo



“Leo tunataka tuangazie maeneo ambayo tunaweza kubadilisha maisha yetu na ya vijana wa Arusha, Watanzania na hata wageni wanaotamani kushirikiana nasi,” amesisitiza.



Jukwaa hilo linatarajiwa kutoa mwelekeo mpya kwa wawekezaji, wajasiriamali, na watunga sera kuhusu namna ya kufanikisha maendeleo ya pamoja kupitia uwekezaji wa kimkakati katika sekta zenye tija.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa