• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

BAJETI YA BILIONI 388 IMEPITISHWA

Posted on: March 10th, 2022

Kamati ya ushauri ya Mkoa wa Arusha imepitisha bajeti ya shilingi Bilioni 388.6 kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa ajili ya kuendesha shughuli mbalimbali za Mkoa na Halmashauri zake 7.

Bajeti hiyo umepitishwa katika kikao cha ushauri cha Mkoa, kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkoa.

Katika bajeti hiyo jumla ya shilingi Bilioni 259.5  ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi Bilioni  129.1 ni kwa ajili ya shughuli za maendeleo katika Mkoa.

Akisoma bajeti hiyo kwa niaba ya Katibu Tawala Mkoa, Katibu Tawala msaidi Mipango na uratibu bwana Said Mabiye amesema bajeti hiyo imezingatia utekelezaji wa mambo mbalimbali ikiwemo; mishahara ya watumishi, utoaji wa mikopo ya 10%, miradi mbalimbali ya maendeleo ya ujenzi na uboreshaji wa vituo vya afya, ujenzi wa vyumba vya madarasa Barabara na huduma za Maji.

Katika kuhakikisha bajeti hiyo inatekelezeka na Mkoa wa Arusha unafanikiwa kwa kiwango kikubwa, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amesisitiza mambo haya; amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote za  Mkoa wa Arusha wanachukua hatua kali kwa wale wote watakaohusika na upotevu wa madawa.

Pia, amewataka wakuu wa wilaya wasiruhusu uwazishwaji wa maduka ya madawa binafsi  karibu na vituo vya afya na hospitali zote ili kupunguza upotevu wa madawa katika hospitali hizo.

Mongella amesisitiza zaidi kwa yeyote atakaye bainika anatoa hati ya ardhi katika Barabara za akiba na maeneo mengine yasiyostahili wachukuliwe hatua kali.

Kikao cha ushauri cha Mkoa kilikuwa maalumu kwa ajili ya kupitisha bajeti ya Mkoa kwa mwaka 2022/2023 na kushauri mambo mbalimbali ya maendeleo kwa Mkoa wa Arusha.





Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa