• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

BARABARA ZOTE ZA KM 1 KUKAMILIKA JANUARI

Posted on: October 28th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amezitaka halmshauri zote Mkoani hapo kupitia Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini ( TARURA) na Wakala wa barabara Tanzania(TANROAD) kumaliza barabara zote zinazojengwa kwa umbali wa Kilomita 1 kukamilika ifikapo Januari, 2023.

Ameyasema hayo alipokuwa akifungua kikao cha  46 cha bodi ya barabara Mkoa wa Arusha.

"Hakuna haja ya kutumia  muda mrefu kujenga barabara zenye kilomita 1 na kuwafanya wananchi kukosa huduma".

Miundombinu ya barabara ni kichocheo muhimu  cha kujenga uchumi wa wananchi  na nchi kwa ujumla.

Amesema, serikali imeongeza bajeti ya barabara kwa kiasi kikubwa ili kurahisisha barabara kukamilika kwa wakati, kwa mwaka wa fedha 2022/2023 TARURA wamepatiwa fedha kiasi cha bilioni 18.2   na kwa mwaka 2021/2022 bajeti ilikuwa bilioni 9.

Kwa upande wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)  bajeti ya mwaka 2021/2022 ilikuwa Milioni 13 na kwa mwaka wa fedha 2022/2023 bajeti ni milioni 12.9 kwa mtandao wa barabara  wa kilomita 1,493.12 kwa kiwango cha lami na changalawe.

Amewataka viongozi wa Wilaya na Halmshauri  kwenda kusimamia na kufahamu mitandao ya barabara iliyopo katika maeneo yao.

Kikao cha bodi ya barabara  Mkoa kimefanyika katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa