• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

CHURCHIL SHOW NA RC MAKONDA WAINGIA MAKUBALIANO KUINUA VIPAJI VYA WAIGIZAJI ARUSHA.

Posted on: September 29th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda Leo Jumamosi Septemba 28, 2024 amekutana na kuzungumza na Msanii maarufu wa sanaa ya maigizo na vichekesho kutoka nchini Kenya Bw. Daniel Ndambuki maarufu kama Churchil ambapo wamekubaliana kushirikana katika Programu maalum ya kuinua sanaa ya Uigizaji na Vichekesho Mkoani Arusha.



Churchil ambaye pia ni Mtangazaji wa kipindi cha Runinga cha Churchil Show amefanya kazi kwenye tasnia ya Vichekesho tangu mwaka 1996 na jukwaa lake la Churchil show limetoa fursa kwa mamia ya Vijana kuweza kuonesha vipaji vyao, akisifika pia kwa kugundua na kukuza vipaji vya vijana wengi wa pembe ya Afrika Mashariki kupitia program zake kadhaa za kukuza vipaji  ikiwemo ya "Top Comic" inayojumuisha wataalamu wa kunoa vipaji zaidi ya 20.



Mhe. Makonda kando ya kutangaza Onesho kubwa Jijini Arusha la Churchil Show mwezi Disemba mwaka huu,  amewaambia wanahabari kuwa dhamira yake mara zote ni kuhakikisha wananchi wa Arusha wanastawi kiuchumi kupitia vipaji vyao, akiahidi kuendelea kubuni na kufungua fursa zaidi kwa Kila mwananchi wa Arusha ili kuweza kunufaika na uwepo wake kama Mkuu wa Mkoa wa Arusha.



" Kila mtu Mungu amempa kitu cha tofauti na sisi kama sehemu ya serikali ya Mkoa jukumu letu ni kuhakikisha tunatengeneza mazingira mazuri ya vijana wa mkoa wetu kuhakikisha wanatumia vipaji vyao kutengeneza maisha yao na uchumi wao. Churchil Show ni moja ya Programu kubwa Afrika na duniani na ni programu ambayo inabadilisha maisha na kukuza vipaji vya vijana wengi na sasa ni zamu ya wananchi wa Arusha", Amesema Mhe. Makonda.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa