• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

DC LONGIDO AWAKARIBISHA WAKAGUZI WA NDANI AFRIKA, AWATAKA KUFURAHIA KUWEPO ARUSHA...

Posted on: April 17th, 2024

Mkuu wa wilaya ya Longido, Mhe.Marco Ng'umbi, amewaaribisha wageni na Wakaguzi wa Ndani Afrika, wanaoshiriki Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za  Wakuguzi wa Ndani Afrika, unafanyika kwenye Kituo cha Mikutano ya Kilataifa Arusha (AICC)  Aprili 17, 2024.

Akitoa salam za Mkoa, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Ng'umbi amewata wageni na watalamu hao kufurahia uwepo wao Arusha, kutoakana na uzuri wa mji huo, wenye hali nzuri ya hewa iliyozungukwa na vivutio vingi vya Utalii.

Amewashukuru wajumbe wote kwa kuchagua Arusha, kufanyika Mkutano huo muhimu, uliowakutanisha zaidi ya watalamu 1,500 wa Ukaguzi wa Ndani Afrika kutoka zaidi ya nchi 30 za Afrika, mkutano ambao unategemea kuimarisha hali ya matumizi sahihi ya rasilimali za Umma kwa nchi husika pamoja na kuboresha maisha ya watu.


"Ninawashukuru na kuwapongeza kwa kuichagua Arusha kufanya mkutano huu muhimu kwa nchi zetu za Afrika, ninawaalika kutumia fursa hii ya mkutano,  kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Arusha ikiwemo mbuga za wanyama ili kujionea uzuri wa Uoto wa asili ili  kufurahia zaidi kuwepo Tanzania"Amebainisha Mhe.Ng'umbi


Aidha, amesisitiza kuwa, Mkoa unatambua umuhimu wa Mkutano huo kwa nchi zote za Afrika, mkutano ambao umewakutanisha watalamu kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kujifunza mbinu mpya zinazoendana na maendeleo ya kiteknolojia utakatoa mabadiliko chanya kwa Watalamu wa Ukaguzi wa Ndani Afrika.


Awali, Mhe.Ng'umbi amewahakikishi amani, ulinzi na usama kwa muda wote watakaokuwa Arusha ili kufikia malengo ya mkutano huo kwa maendeleo ya nchi zoye za Afrika kwa ujumla wake


Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, inaahidi kuwahakikisha amani, ulinzi na usalama kwa muda wote watakao kuwa Arusha, na kuongeza kuku




Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa