Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko akitembelea na kukagua mradi wa shule ya sekondari ya Longido Samia iliyopo Wilayani Longido ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku nne mkoani humo kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tnganyika na Zanzibar.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa