• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

FAMILIA NA JAMII TUWATUNZE WAZEE

Posted on: October 1st, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta, amesema atasimamia uundwaji wa mabaraza ya wazee katika wilaya za Mkoa wa Arusha ambazo bado hazijaunda.

Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wazee katika mkutano wa hadhara wilayani Karatu, ikiwa ni maadhimisho  ya  siku ya wazee duniani.

Kimanta amesisitiza kuwa wazee ni hazina kubwa katika ujenzi wa nchi,hivyo changamoto zao atahakikisha anazisimamia kwa umakini na ataanza kuboresha huduma zao za afya na kuhakikisha kila mzee anapata kitambulisho cha utambuzi.

Akisoma risala kwa niaba ya wazee kwa Mkuu wa Mkoa, Katibu wa baraza la ushauri la wazee Mkoa, bwana Hamis Ramadhani amesema,katika huduma za afya kuna baadhi ya vituo vya afya wanazingatia sera ya mzee kwanza lakini kuna baadhi ya maeneo hawazingatii.

Aidha, wameiyomba serikali kuwapatia mikopo katika vikundi vidogo vya wajasiriamali kama ilivyo kwa wamama, vijana na wenye ulemavu ili iwasaidie katika kujikwamua kiuchumi.

Nae, afisa maendeleo ya jamii bwana Denis Mgiye amesema, jumla ya wazee 67497 kwa Mkoa mzima wameshatambuliwa na kupewa vitambulisho.

Amesema Mkoa unaendelea kuhakikisha changamoto mbalimbali za wazee zinatatuliwa ikiwemo; wamesimamia uundwaji wa baraza la ushauri la wazee  ngazi ya Mkoa na lina jumla ya wazee 49 lenye wajumbe kutoka kila Wilaya.

Mkoa umetoa ofisi kwa baraza hilo la wazee Mkoa ili waweze kuendesha shughuli zao.

Maadhimisho ya siku ya wazee Duniai hufanyika kila mwaka Octoba mosi na kwa mwaka huu 2020 Kimkoa maadhimisho haya yamefanyika Wilayani Karatu, yenye kauli mbiu isemayo “Familia na Jamii, tuwajibike kuwatunza wazee”.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA MIAKA 2 YA MAMA SAMIA AKIWA MADARAKANI

    March 19, 2023
  • BONANZA LA MIAKA MIWILI YA MAMA SAMIA

    March 18, 2023
  • UZINDUZI WA KITABU CHA MIAKA MIWILI YA DKT.SAMIA

    March 14, 2023
  • TUMERIDHISHWA NA MIRADI-KAMATI YA SIASA MKOA

    March 09, 2023
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa