Flaviana Matata pamoja na marafiki zake Kym Rapier na Glenn Verette kutoka Nchini Marekani wamemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda Ofisini kwake kwaajili ya kujadili fursa mbalimbali za mazingira bora kwa watu wenye mahitaji maalum na vituo vya watoto yatima kupitia Taasisi ya Flaviana Matata.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa