• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

HAKUNA HAKI BILA WAJIBU

Posted on: March 21st, 2019

Watumishi wa Mkoa wa Arusha wahimizwa kufanya kazi kwa bidii kwa kuzingatia maadili ya utumishi watu ili kuleta maendeleo katika Mkoa, kwani hakuna haki bila wajibu.

Yamesemwa hayo na Katibu Tawala wa Mkoa bwana Richard Kwitega alipokuwa akifungua kikao cha baraza la watumishi wa Mkoa wa Arusha kwa lengo la kujadili na kupitisha bajeti kwa mwaka 2019/2020.

Kwitega amesema,Serikali ya awamu ya tano imejikita zaidi katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi hivyo watumishi wa umma wanapaswa kuisimamia kwa umakini.

Miradi yote ya maendeleo inatekelezwa kwa kuzingatia bajeti za Serikali zinazopitishwa kila mwaka na kwa mwaka wa fedha 2019/2020 baraza la watumishi mkoa wa Arusha imepitisha bajeti ya kiasi cha shilingi Bilioni 7 kwa ajili ya matumizi mbalimbali  ya ofisi na shughuli mbalimbali ya maendeleo.

Nae afisa kazi kutoka ofisi ya Kamishina wa kazi Mkoa wa Arusha bwana Emmanuel Mwita amesema, baraza hili linamanufa sana kwa watumishi wa umma kwani inawasaidia kufahamu mambo mbalimbali katika Mkoa.

Pia, watumishi wanapata nafasi ya kufahamu bajeti nzima na matumizi yake katika Mkoa na kama kutakuwa na mapungufu baraza hili linawapa nafasi ya kupendekeza na kushauri.

Katibu wa TUGHE Mkoa wa Arusha bwana Magero Samweli amesema,baraza hili linasaidia kuweka mazingira ya wazi kati ya mwajiri na mwajiriwa ambapo mwajiriwa anapata nafasi ya kufahamu kile  kinachotekelezwa na Serikali yao.

Pia, amesema baraza hili nila muhimu sana kwa watumishi kwani inaondoa sitofahamu kwa watumishi kwani kila kitu kinakuwa wazi na watafahamu namna changamoto zoa zitakavyotatuliwa na kuongeza ufanisi kwao.

Baraza la watumishi Mkoa wa Arusha limejumuisha wakuu wa idara, vitengo na baadhi ya watumishi kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa,Makatibu Tawala wa Wilaya na baadhi ya Maafisa Tarafa wa Mkoa wa Arusha.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa