• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

HALMASHAURI ZAHIMIZWA KUTENGA FEDHA ZA KUTEKELEZA PROGRAMU YA M-mama

Posted on: July 30th, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Halmashauri za mkoa wa Arusha, zimesisistizwa kutenga fedha kwenye bajeti zao za mwaka kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Afya wa Taifa, ili kutekeleza programu ya huduma ya usafiri wa dharura na rufaa kwa wajawazito na watoto m-mama.


Rai hiyo imetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Albano Musa, wakati akifungua kikoa kazi cha mwaka 2023/2024 cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mfumo wa m-mama mkoa wa Arusha, kilichofanyika kwenye hoteli ya Corridor Spring Julai 30,2024 


Amewataka wakurugenzi wa halmashauri kutenga fedha kwa ajili ya program ya M-mama, programu ambayo ni mkakati wa Serikali wa kupunguza vifo vya wajawazito na watoto wachanga, inayotoa huduma za usafiri bure kwa wajawazito na wazazi kutoka kwenye maeneo yao mpaka kufikia kwenye vituo vya afya kupitia namba 115.


Kufuatia taarifa ya tathmini iliyowasilishwa licha ya kupunguza vifo 19 kutoka vifo 64 mpaka kufikia vifo 48 sawa na 28%, zipo halmashauri ambazo hazijawalipa madereva waliofanya kazi hiyo angali wana mkataba wa kufanya kazi hiyo na kuwasisitiza kuhakikisha madereva hao wanalipwa fedha zao.


"Ni agizo la Serikali kila  halmashauri kutenga fedha kwa ajili ya kuendesha programu ya m-mama na kuhakikisha madereva wanaosafirisha wagonjwa wanalipwa kwa wakati, hakuna sababu ya kulimbikiza madeni yao, programu hii inachangia mafanikio ya Jamii, Serikali na agenda ya Mhe. Rais, hilo halitakubalika hata kidogo, tukusanye mapato tuchangie mfuko huo wa Taifa ili hata mdau akimaliza muda wake m-mama iwe endelevu".Amesisitiza RAS 


Aidha amewataka waratibu wa m-mama kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili waifahamu vema huduma hiyo, na kufikia malengo ya Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuondoa vifo vyq wajawazito na watoto nchini na kuongeza kuwa, kupitia huduma ya m-mama huduma ambayo licha ya kuwa ni faraja kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Kwanza  zaidi inaboresha maisha na ustawi wajamii ya watanzania.


"Ninaamina huduma ya m-mama ikiboreka inaweza kwenda mbali zaidi ya kuwahudumia watu wote zaidi ya wajawazito na watoto na kuokoa maisha ya watanzani wengi hasa waishio maeneo ya pembezoni"


Awali, kikao hicho kimewakutanisha watalamu wa sekta mtabuka ikiwemo wakuu wa Seksheni na Vitengo sekretarieti ya mkoa, makatibu Tawala wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, watalamu wa sekta ya afya, wanasheria na wahasibu wa afya wa halmashauri zote za mkoa wa Arusha.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa