• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

HISTORIA YA MIAKA 60 YA MUUNGANO INAPASWA KUTUNZWA NA KURITHISHWA KWA  VIZAZI  NA VIZAZI..

Posted on: April 25th, 2024

Watanzania wanaposherehekea miaka 60  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wamehimizwa kutambua kuwa Muungano, una historia yake, inayopaswa kutunzwa na kuhifadhiwa kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo.

Rai hiyo, imetolewa na Mkuu wa wilaya ya Arusha Mhe. Felician Mtahengerwa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano Mkoa wa Arusho, yaliyofanyika kwenye Hospitali ya Jiji la Arusha eneo la Njiro.

Mhe. Mtahengerwa ameweka wazi kuwa, kila mtanzania anapaswa kutambua kuwa,  Muungano haukutokea  hivihivi ulikuwa na historia ambayo inatakiwa kuhifadhiwa na kutunzwa kwa kusemwa kwa  kutambua dhamira ya waasisi  wetu Nyerere na Karume kutoka na mapenzi mema ya kuona sisi ni ndugu na tuendelee kuwa kitu kimoja.

Amesema kuwa, historia ya miaka mingi ya damu na ya kijamii, ikiwa ni tamaduni na mila zinazofanana na kuwasukuma waasisi wetu, kuchanganya udongo wa Tanganyika na  Zanzibar,  wakimaanisha kiapo ambacho kitadumu bila kuvunjikq, hivyo ni vyema kuendelea kuwafundisha watoto masuala ya Muungano pamoja na kuwambusha tulikotoka, tulipo na tunapoelekea.

Ameyataja mambo muhimu yanayoimarisha Muungano ni pamoja na Uwepo wa Wizara ya Muungano inayoshughulikia kero mbalimbali za Muungano ili kuwa na usawa ambao unaimarisha Taifa la Tanzania kusonga mbele ambapo Waasisi walitaka kutokomeza umaskini na kuwa na mikakati ya kupunguza umasikini ikwemo TASAF ambayo imeendelea kuinua vipato vya wananchi wa pande zote na kuondoa umasikini nchini.

"Muungano umedumu kwa umahiri wa nchi yetu kwa kuhakikisha tunalinda amani ya Nchi yetu, tukiwa na ushahidi wa nchi ambazo ziliungana na kuvunjika zianishi kwenye migogoro mikubwa hivyo kila mtanzania anapaswa kuulinda umoja huu pamoja na kulinda amani ambayo ni tunu ya Taifa letu.

"Tusiache kutembelea msemo wa Umoja ni Nguvu na utengeno ni Udhaifu, tusikubali kwa namna yoyote kuligawa taifa la Tanzania, tuwe imara na kupaza sauti kwa watu wote wanaoleta chokochoko kwa lengo la kuvunja Muungano, mifano halisi tunayo kwa nchi za jirani, " Ameweka wazi Mtahengerwa

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa