• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

"HONGERENI KWA USIMAMIZI IMARA WA MRADI HUU MKUBWA" Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha

Posted on: February 28th, 2024


Wajumbe wa Kamati ya siasa Mkoa wa Arusha,  wameipongeza Serikali  kupitia watalamu wasimamizi wa mradi mkubwa wa ujenzi wa shule mpya ya wasichana Longido Samia Suluhu,kijiji cha Orbomba wilaya ya Longido,  mradi wa kimkakati, ambao uko kwenye hatua mbalimbali za ujenzi, unaotegemea kugharimu takribani shilingi Bilioni 3 fedha kutoka Serikali Kuu.


Wajumbe hao, wametoa pongezi hizo wakati wa ziara yao ya kawaida ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM, na kujioneo maendeleo ya ujenzi wa mradi huo mkubwa wa kimkakati, unaotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita.


Akizungumza mara baada ya kukagua na kupokea taarifa ya mradi huo, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, Thomas Ole Sabaya, licha ya kuwapongeza wasimamizi wa mradi huo, ameipongeza na kuishukuru Serikali ya awamu ya sita, chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za kutekeleza mradi huo mkubwa, utakao wasaidia watoto wa kike wa jamii ya kimaasai kupata elimu ndani ya maeneo yao.


"Tunaipongeza na kuishukuru Serikali ya awamu ya sita, kwa kutoa fedha nyingi za kutekeleza mradi huu, shule hii ni zawadi kwa wasichana wa kimaasai, waliokosa fursa  ya kupata elimu kwa miongo mingi, mradi huu ni utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025" Ameweka wazi Mwenyekiti Sabaya.


Aidha, amewaagiza wasimamizi wa mradi huo, kuwasimamia mafundi kuongeza kasi ya ujenzi pamoja na kufanyia kazi marekebisho madogo madogo yaliyosalia ili mradi ukamilike kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa, zaidi watoto waanze masomo shuleni hapo kama yalivyo makusudio ya Serikali.


Naye Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella amesema kuwa, kukamilika kwa mradi huo utakuwa msaada mkubwa kwa watoto wa kike, hasa wa jamii ya kimaasai walioshindwa kupata elimu, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mila na desturi za kabila lao, watoto ambao watapewa kipaumbele kufuatia lengo kuu la Serikali la kujenga shule hizo maalum nchini.


Hata hivyo, Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Longido Steven Ulaya, amekiri kupokea maelekezo ya kamati hiyo na kuahidi kuyafanyia kazi maelekezo yote, huku kipaumbele chao kikiwa ni kukamilisha mradi huo kwa muda uliokusudiwa.


Awali Mradi huo unagharimu kiasi cha fedha shilingi Bilioni 3 na  unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu wa 2024.


#ArushaFursaLukuki




                        
                       
                        </div>
                        <!-- /.right-sidebar-content -->
                        <!--/END RIGHT SIDEBAR CONTENTE SECTION-->
                    </div>



<div class=

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa