• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

IDARA YA DHARURA YAZINDULIWA MT.MERU

Posted on: November 19th, 2018

Mazingira wezeshi kwa watumishi wa umma ndio yatakuwa kichocheo cha wao kufanya kazi kwa bidii na  kwa weredi wa hali ya juu, hali hii itasaidia pia kuboresha huduma zitolewazo.

Haya yamesemwa na katibu mkuu wizara ya afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto  Dkt. Mpoki Ulisubisya alipokuwa akizindua idara ya huduma ya dharura na ajali katika hospitali ya mkoa ya Mt.Meru.

Dkt. Mpoki amesema, hatua zinazofanywa katika hospitali hiyo ni kubwa na nzuri sana hasa katika kuhakikisha huduma zinaboreshwa hasa kwa kuongeza majengo na huduma mbalimbali kama hiyo ya dharura.

Amesema serikali ipo tayari kuunga mkono juhudi hizo hasa kwa kuhakikisha wahuduma wa afya wanaongezwa na vitendea kazi pia.

Akitoa taarifa fupi ya idara ya dharura mganga mfawidhi wa hospital Dokta Shafii Msechu amesema,ukarabati wa jengo la huduma za dharura limekaratabiwa kwa kushirikiana na taasisi ya Abbott Fund Tanzania.

Amesema lengo kubwa la kuanzisha idara hiyo ni kumaliza kabisa vifo vitokanavyo na magonjwa ya dharura na ajali.

Hata hivyo Dokta Msechu amesema mpaka sasa hospitali imeshakamilisha uchoraji wa michoro ya majengo ya waganjwa  wa nje,jengo la dharura, jengo la wagonjwa mahututi na vyumba vya upasuaji.

Zaidi ya shilingi bilioni 9 zitatumika katika ujenzi wa jengo la dharura na shilingi bilioni 22 zitatumika katika ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje na jengo la dharura.

Akitoa shukrani  za dhati makamu mwenyekiti wa bodi ya hospitali ya Mt.Meru Hans Tosk, amesema bado hospitali inamahitaji mengi sana hivyo serikali na wadau wasichoke kuisadia hospitali pale mahitaji hayo yanapoombwa.

Pia, amesema bodi inafurahishwa sana na ushirikiano unaopatikana kutoka kwa serikali na kamshukuru sana Katibu Mkuu kwa kuwapa moyo wakuendelea  kuboresha huduma za hospitali.

Huduma ya idara ya dharura kwa mara ya kwanza nchini ilizinduliwa rasmi katika hospitali ya Muhimbili 2010 na mafanikio makubwa yalionekana baada ya kupunguza idadi kubwa ya vifo,hivyo kupelekea idara hii kuanzishwa katika hospitali vyingine.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa