• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

IDARA YA MAENDELEO YA JAMII YAPONGEZWA

Posted on: December 20th, 2019

Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha ameipongeza wizara ya afya, maendeleo ya jamii,jinsia, wazee na watoto kupitia idara ya maendeleo ya jamii kwa kuona umuhimu wa kufanya mapitio ya sera yake ili kupata sera iliyo shirikishi.

Ametoa pongezi hizo alipokuwa akifungua kikoa kazi cha mapitio ya sera ya maendeleo ya jamii kwa kanda ya Kaskazini katika mkoa wa Arusha ambacho kikao hicho kilijumuisha mikao ya Kilimanjaro, Tanga na Manyara.

“Ni vizuri kufanya mapitio ya sera hii ili iweze kuendana na hali halisi ya sasa hasa katika serikali hii ya viwanda katika uchumi wa kati kwa kugusa makundi ya watu mbalimbali kama walivyo katika kikao hiki”.

Kwitega amesema dunia imebadilika na mambo mengi yamebadilika hivyo hata pia sera zetu zinapaswa kubadilika kulingana na mabadiliko haya hasa kwenye maswala ya wanawake na watoto.

Hivyo amewataka wadau wote walioshirikishwa kwenye kikao hicho kutoa maoni yao ili kuwezesha kupata sera iliyobora na inayogusa takribani kila eneo linalomgusa mwananchi wa hali yoyote.

Mkurugenzi msaidizi wa idara ya maendeleo ya jamii bi. Grace Magwa amesema, lengo kubwa la kikao hicho ni kupitia sera ya maendeleo ya jamii ya mwaka 2000 ili ieleweke kwa wadau wakikao.

Amesema, kisha wataitaji maoni kutoka kwa wadau hao katika kuboresha sasa sera inayokuja na akasema ndio maana wamepita katika kanda zote 7 zinazojumuisha mikao yote 26 ya Tanzania bara ili kutoa nafasi kwa wawakilisha wa makundi mbalimbali kushiriki kikamilifu katika mchakato huo.

Amesisitiza kuwa maoni hayo yatakuwa mchango mkubwa sana katika kufanikisha kuwa na sera inayoendana na hali ya mabadiliko ya sasa ambayo yapo katika mabadiliko ya hali ya mazingira, afya na maeneo mengine mengi hivyo sera nayo inaenda kuzingatia mabadiliko hayo.

Bi Mariam Mollel kutoka baraza la wafugaji Mkoa wa Manyara amesema, bado kuna unyanyasaji mkubwa kwa wanawake katika kumiliki mali na kutoa maamuzi katika jamii nyingi hasa za kimasai,hivyo kwa mapitio ya sera hiyo itasaidia kuongeza vipengele vitakavyowezesha mwanamke kuepukana na changamoto hiyo.

Kutokana na mabadiliko mbalimbali katika jamii nyingi za Kitanzania, wizara ya afya, maendeleo ya jamii,jinsia, wazee na watoto imeamua kufanya zoezi la kupitia na kukusanya maoni juu ya sera ya mwaka 2000 yenye mkakati wake wa mwaka 2015 ambayo nayo ilirekebishwa kutoka katia sera ya mwaka 1992 ili kupata sera bora na shirikishi kwa miaka ijayo ambapo makundi mbalimbali yalishirikishwa yakiwemo viongozi wa dini, watalaamu, taasisi binafsi,  na vyama mbalimbali vya kijamii.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA MIAKA 2 YA MAMA SAMIA AKIWA MADARAKANI

    March 19, 2023
  • BONANZA LA MIAKA MIWILI YA MAMA SAMIA

    March 18, 2023
  • UZINDUZI WA KITABU CHA MIAKA MIWILI YA DKT.SAMIA

    March 14, 2023
  • TUMERIDHISHWA NA MIRADI-KAMATI YA SIASA MKOA

    March 09, 2023
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa