• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

IMARISHENI USIMAMIZI WA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI- NDUNGURU

Posted on: July 12th, 2024


Na Angela Msimbira, MWANZA


Ofisi ya Rais - Tamisemi 


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Adolf Ndunguru amewaagiza walimu wakuu wa shule za msingi chini kuhakikisha wanaimarisha usimamizi wa ufundishaji na ujifunzaji kwa kuongeza ubunifu katika utatuzi wa changamoto za ujifunzaji kwa wanafunzi. 


Ndunguru ametoa maagizo hayo leo Julai 11,2024 jijini Mwanza wakati akifunga mafunzo kwa walimu wakuu na maafisa mazingira kuhusu miongozo ya ujenzi wa miundombinu ya shule, usalama wa mazingira na jamii na taratibu za ununuzi wa umma.


Amesema Serikali imeanza kutekeleza. itaala ya elimu iliyoboreshwa inayosisitiza utolewaji wa elimu itakayomwezesha mwanafunzi kupata ujuzi ili aweze kujitegemea na kuliletea Taifa maendeleo hivyo ni wajibu wa kila walimu kuhakikisha anatimiza majukumu yake kikamilifu.


Pia amewaelekeza walimu wakuu wote nchini kuhakikisha wanaweka mazingira wezeshi  yatakayowasaidia walimu kushiriki kikamilifu Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA) katika ngazi ya shule na vituo vya walimu ili kuboresha ufundishaji. 


“Serikali imedhamiria kuboresha ufundishaji kupitia Mpango wa mafunzo endelevu kazini, hivyo nitumie fursa hii kuwaelekeza walimu wakuu wote nchini  kwa kushirikiana na  Wakurugenzi wa Halmashauri kuweka  mazingira rafiki yatakayowawezesha walimu kushiriki kikamilifu katika MEWAKA na kuwapa usaidizi unaohitajika” amesema Ndunguru


Amesema kuwa uwepo wa mazingira salama na rafiki kunamuwezesha mwanafunzi kujifunza kwa ufasaha hivyo amewataka walimu hao kuweka mifumo na mikakati ya kuwalinda watoto dhidi ya unyanyasaji na ukatili wa aina yoyote. 


Amewataka kuhakikisha klabu za wanafunzi zinahuishwa na wanafunzi kujengewa uwezo wa kujitambua, kujieleza, kujiamini na jamii ishirikishwe katika kuweka utaratibu wa kubaini na kushughulikia masuala ya ukatili, unyanyasaji na malalamiko. 


Aidha, amewataka kuhakikisha wanasimamia ukamilishaji wa ujenzi wa miundombinu ya shule kwa wakati huku ujenzi huo ukiendana na thamani ya fedha iliyotolewa na Serikali ili kuweza kuleta manufaa kwa taifa na kutimiza vigezo vya kupata fedha,


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa