• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

INJINIA YUKO SITE KUJENGA NYUMBA YA BIBI PENINA; RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YAKE

Posted on: May 14th, 2024

Watalam kutoka ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha tayari wameanza rasmi ujenzi wa nyumba ya kuishi yenye vyumba vitatu na sebule mama wa miaka 70, Bibi Penina Petro mkazi wa Kijiji cha Siwandete Kata ya Kiranyi wilayani Arumeru, kufuatia ahadi aliyoitoa Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Paul Christian Makonda wakati wa program ya Oparesheni rejesha Haki iliyofanyika wiki iliyopita.


Mhe. Mkuu wa mkoa aliahidi kumjenga nyumba Bibi huyo wakati wa kliniki yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Arusha na ndipo bibi huyo alipoanza kulia na kueleza masaibu ya nyumba yake kudondoka na ndugu zake kugoma kumjengea nyumba hiyo,  kutokana na kutojaliwa kupata mtoto na hivyo kudai kuwa hakuna haja kwa madai bibi huyo hana muda mrefu wa kuendelea kuishi duniani.


Tayari wataalamu wa ujenzi wamefika kwenye eneo la bibi  huyo kwaajili ya upembuzi wa awali na kupima eneo hilo na kulingana na ofisi ya Mkuu wa Mkoa, ujenzi wa nyumba hiyo unatarajiwa kuanza wiki hii.


Katibu Tawala Msaidizi Ujenzi, Mkoa wa Arusha, Mhandisi Makange, amefika kwenye eneo la bibi huyo na kuanza hatua za ujenzi wa nyumba hiyo ya kisasa yenye vyumba vitatu na sebule.


Hata hivyo,Bibi Penina ametumia fursa hiyo kumuombea kheri na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujali wanyonge na kuwa majibu ya changamoto zao huku pia akimshukuru Mhe. Mkuu wa Mkoa Paul Christian Makonda kwa kuja na kliniki ya kuwasikiliza na kutatua changamoto za wananchi pamoja na kuwa na nidhamu katika kuahidi na kutekeleza.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa