• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

JIJI LA ARUSHA LA PONGEZWA KWA KASI NZURI YA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA

Posted on: December 3rd, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amesisitiza ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Jiji la Arusha uwe wa ubora na ukamilike kwa wakati.

Ameyasema hayo alipokuwa akikagua ujenzi wa vyumba vya madarasa ya sekondari kwa Jiji hilo ambayo yalipatiwa fedha kutoka Serikalini katika mpango wa  Taifa wa mapambano dhidi ya UVIKO 19.

"Napenda kuwapongeza sana viongozi wa Serikali na kisiasa na wananchi wote kwa Jiji hili kwa ushirikiano mliouwonesha hadi kufikia hatua hii ya umaliziaji wa vyumba hivi vya madarasa".

Amewahasa mshikamano huo uendelee  katika kuleta maendeleo hata kwenye sekta nyingine.

Katika Jiji la Arusha  wamejenga madarasa 105 na 16 niya gorofa na 89 ni majengo ya kawaida.

RC Mongella amesisitiza zaidi kuwa katika shughuli za kuleta maendeleo siasa isiingizwe bali mshikamano uendelee kuwepo.

Aidha, amesema mwisho wa ujenzi wa vyumba vyote vya madarasa kwa Mkoa mzima wa Arusha ni Disemba 10.

Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. Onesmo Mandike amesema Halmashauri hiyo ilipatiwa fedha kiasi cha Bilioni 2.1 kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa 105.

Hadi sasa hali ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa Jiji hilo ni  mzuri na kasi yake ni nzuri imefikia asilimia 80.

Diwani wa kata ya ungalimitedi bwana Amoor Hussein Omary ameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha kiasi cha Milioni 80 katika shule ya Sekondari Ungalimitedi.

Amesema kukamilika kwa shule hiyo kutaondoa hadha ya watoto wao kutembea umbali mrefu kwenda shule za mbali kwani hapo awali wazazi walilazimika kutoa nauli ya shilingi 1000 kila siku kwa watoto wao na hiyo ikapelekea ugumu kwa watoto wengi kwenda shuleni.

Ziara ya Mhe.Mongella ya kukagua  vyumba vya madarasa ni mwendelezo wa ziara zake katika Mkoa wa Arusha ya kuhakikisha fedha za Serikali Bilioni 8.5 za ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa Mkoa mzima  zinatumika kama ilivyopangwa na madarasa yanakamilika  kwa wakati.




Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa