• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

JUMBE ZA KUDUMU ZA MWENGE WA UHURU UJENZI WA VYUMBA 2 VYA MADARASA S/M ENGIKARET

Posted on: July 21st, 2024


Na Elinipa Lupembe


Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru amezindua Mradi wa Ujenzi wa vyumba 2 vya  Madarasa na Ofisi, shule Kongwe ya Msingi Engikaret Kata ya Engikaret uliojengwa na Serikali kwa gharama ya shilingi milioni 50 kupitia programu ya BOOST.


Katika mradi huo, Ndugu Mnzavatoa jumbe za Kudumu za Mwenge wa Uhuru, kwa kuwahamasisha 

Wananchi wenyz sifa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Oktoba 2024, kwa kusisitiza kuwa kila mwananchi anapaswa kutambua kushiriki uchaguzi na haki Kikatiba.


Ameitaka jamii kuongeza Mapambano dhidi ya  Magonjwa ya kuambukiza ikiwemo ugonjwa wa UKIMWI  kwa kuzingatia  kauli mbiu Jamii iongeze kutokomeza UKIMWI na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria chini ya Kaulimbiu ya Ziro Malaria inaanza na mimi.


Aidha, amewataka wanaLongido kuendelza mapambano dhidi ya Rushwa na dawa za kulevya kwa kutambua rushwa nia adui wa haki na jukumu la kupambana na rushwa ni la kila mwananchi kuzuia Rushwa ni Jukumu lako na langu; tutimize wajibu wetu na kuongeza kuwa dawa za kulevya ni tatizo kwa afya ya binadamu huku vijana wengi wakitokomea  epuka dawa za kulevya, zingatia utu, Boresha huduma za kinga na tiba.


Hata hivyo amesisitiza kuwa afya ya kila mtu inategemea lishe bora, kupitia Kauli mbiu ya Lishe sio kujaza tumbo, zingatia unachokula, hivyo ni vema kuzingatia lishe bora ili kuepuka magonjwa yasiyoambukiza ambayo yanaitesa jamii kwa sasa.


Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024 ni "Tunza Mazingira, Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa ujenzi wa Taifa Endelevu"


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa