• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATEMBELEA KITUO CHA LEMUGUR

Posted on: March 14th, 2024


Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, ikiambatana na Naibu Waziri wa  Nishati Mhe.Judith Kapinga na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Mhandisi Gissima Nyamohanga , wametembelea kituo cha kupoza na kusafirisha Umeme cha Lemuguru, Mkoani Arusha Machi 13,2024.


Akizungumza kituoni hapo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Mathayo David Mathayo (MB) amesema, Kituo hicho ambacho kitaziunganisha nchi za Tanzania na Kenya (Tanzania and Kenya Power inter connector), kitakua ni fursa ya kibiashara kati ya Tanzania na Kenya ,ambapo Tanzania itaweza kuiuzia umeme Kenya na Nchi nyingine zaidi ya 15, watakaokuwa wanahitaji Umeme


“Kupitia hiki kituo tutaweza kuwauzia umeme Nchi nyingine ,kwani hiki kituo kinatuunganisha na gridi za umeme za Nchi nyingine kupitia south Africa power pool na East Africa Power pool, baada ya mradi wa Bwawa la Julius Nyerere kukamilika tutakua na umeme wa kutosha na hivyo tutaweza kuwauzia Nchi zingine watakapohitaji” alisema Mhe.Mathayo 


Aidha ameitaka TANESCO kukamilisha mradi huo ambao mpaka sasa umekamilika kwa asilimia 99.6


Naye Naibu  Waziri wa Nishati Mhe.Judith Kapinga ameishukuru kamati kwa kutembelea kituo hicho na kusema kuwa Ushauri uliotolewa na kamati utazingatiwa


“ Niishukuru kamati hii, na kusema kuwa tumepokea maelekezo na ushauri wao ikiwa ni kukamilisha mradi huu kwa asilimia ndogo iliyobaki ili kufanya mradi huu kuwa na Tija, alisema  Mhe.Kapinga.


Aliongeza kwa kusema kuwa Serikali imewekeza fedha nyingi katika ujenzi wa kituo hicho takribani dola milioni 258


“Tunamshukuru  Rais wetu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha kwajili ya Miradi ya Nishati na hasa katika kituo hiki ambacho kitakua fursa ya Biashara ya Nishati ya Umeme kwa upande wa Nchi za kusini na Kaskazini, alisema Mhe.Kapinga


Aidha Mhe.Kapinga amesema kuwa kazi ya Wizara ya Nishati ni kusimamia miradi hii, ili fedha za Serikali zitumike ipasavyo kama ilivyokusudiwa.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa