• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KAMILISHENI MIRADI YA MAENDELEO KWA WAKATI

Posted on: July 15th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amefanya ziara ya siku moja ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Karatu.

Katika ziara yake Mhe Mongella amewagiza viongozi wa Wilaya na Halmashauri hiyo kuhakikisha wanasimami miradi hiyo ili iweze kukamilika kwa wakati na wananchi waanze kupata huduma.

Amesisitiza kuwa kukamilika kwa miradi hiyo kwa wakati kutasaidia kuongeza thamani ya miradi hiyo.

Akiwa katika  mradi wa Kilimo cha Vitunguu katika Kata ya Mang'ola, Mongella amewaaidi wakulima hao kuwasaidia kuwatafutia masoko ya Vitunguu ya uhakika ili kilimo hicho kiwe cha tija na manufaa kwa wakulima wenyewe na Taifa kwa ujumla.

Amesema Serikali imewekeza fedha nyingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo ili wananchi waweze kupata huduma bora na kwa ukaribi zaidi.

Hivyo, hata wananchi wanatakiwa kuithamini na kuitunza miradi hiyo kwani ni kwaajili ya yao ili wapate huduma muhimu kwa ukaribu zaidi.

Nae, Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Dadi Holace Kolimba amesema wao kama Wilaya wanashirikiania kwa ukaribu sana na viongozi wa Halmashauri ili kuhakikisha miradi inakamilika kwa haraka kama ilivyopangwa.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu  Karia Rajabu amesema watayasimamia maelekezo yote yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa ili Halmashauri hiyo iweze kukamilisha miradi yote ya maendeleo kwa wakati.

Katika ziara hiyo Mhe. Mongella amekagua ujenzi wa majengo katika shule ya Sekondari Ayalabe yaliyogharimu Milioni 470 kwa awamu ya kwanza, Ujenzi wa majengo katika Hospitali ya Wilaya ya Karatu yenye thamani ya fedha bilioni 2.4, upandaji na uvunaji wa Vitunguu katika Shamba la Mang'ora na ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje, maabara, jengo la wazazi na upasuaji lililogharimu shilingi Milioni 250 katika kituo cha Afya Mbuga nyekundu.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MONGELLA AWATAKA WAKANDARASI WA UMEME KUWASILISHA MIPANGO KAZI YAO.

    January 28, 2023
  • KUMBUKIZI YA SIKU YAKUZALIWA MHE.DKT.SAMIA SULUHU HASSAN

    January 27, 2023
  • MAFANIKIO SEKTA YA ELIMU ARUSHA YAWA KIVUTIO KWA MAAFISA ELIMU KAGERA

    December 29, 2022
  • MPANGO WA m- mama WAZINDULIWA

    December 19, 2022
  • Angalia Zote

Video

THE ROYAL TOUR
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa