• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KAMILISHENI UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI KAMWANGA KABLA YA MACHI, 29, 2024 : MWENYEKITI SABAYA.

Posted on: February 28th, 2024


Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha,  wametembelea na kukagua Mradi wa ujenzi wa shule mpya ya sekondari Kamwanga wilaya ya Longido, na kuagiza mradi huo kukamilika ifikapo tarehe 29 Machi,2024 na kwa viwango vinavyokubalika.


Wakikagua mradi huo, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, Thomas Loy Ole Sabaya,  amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Longido, kuongeza kasi ya ujenzi ili kukamilisha mradi kwa kuwa mpaka sasa uko nyuma ya wakati kwa miezi sita.


Naye, Mkurugenzi halmashauri ya Longido, Steven Ulaya, amekiri kuchelewa kwa mradi huo, kulikotokana na kuchelewa kupatikana kwa eneo la ujenzi pindi fedha za mridi huo  zilipoingia na kuahidi kuendelea  kusimamia kwa karibu na mpaka kufikia tarehe 29 Machi mradi huo utakuwa umekamilika. 


Akisoma taarifa ya utekelezaji wa mradi huo, Mkuu wa Shule ya Sekondari Enduimet Mwl. Hassan Hassan, amesema kuwa, mradi huo unatekelezwa kwa kiasi cha shilingi milioni 584.2, fedha kutoka Serikali Kuu kupitia mpango wa kuboresha Elimu ya Sekondari Tanzania (SEQUIP).


Amesema kuwa, Mradi huo unajumuisha ujenzi wa jengo la Utawala, vyumba 8 vya madarasa, maabara tatu za somo la Fizikia, Kemia na Baiolojia, Maktaba, jengo la TEHAMA,pamoja na matundu 20 ya vyoo.


Aidha mradi huo ukikamilika unatarajiwa kuboresha mazingira bora ya ufundishaji na ujifunzaji kwa kupunguza msongamano katika shule zingine za Sekondari.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa