• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KAMISHNA WA TAKUKURU NA RC MAKONDA WAKUBALIANA KUONGEZA KASI MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA.

Posted on: September 13th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameitaja sekta ya ardhi kuwa kinara katika vitendo vya rushwa mkoani Arusha na kuahidi kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa katika kuhakikishwa kuwa rushwa haiwi sababu ya wakazi wa Arusha kukosa haki zao.



Mhe. Makonda ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Septemba 13, 2024 wakati alipotembelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Chrispin Francis Chalamila aliyefika ofisini kwa Mkuu wa mkoa kujitambulisha na kumpongeza kwa kuwa kinara katika mapambano dhidi ya rushwa mkoani Arusha.



"Tutahakikisha kuwa upande wetu hakuna jambo linalokwamisha vijana wako kufanya kazi yao kikamilifu. Sisi tunachotaka ni haki, mtu asionewe na watu wasiishi kwa mazoea kwamba bila  rushwa hauwezi kufanikisha jambo lako. Tunatamani mkoa wetu huu utawaliwe na Mungu kwa maana kwamba haki ndiyo iwe msingi wa kila mtu" Amesema Mhe. Makonda.



Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU ameahidi kuongeza maafisa  zaidi mkoani Arusha kabla ya mwezi Novemba mwaka huu ili kuongeza kasi katika mapambano dhidi ya rushwa, ikiwa ni utekelezaji wa ombi la Mhe. Makonda alilolitoa kwa TAKUKURU Mwezi Mei mwaka 2024.



Aidha Chalamila amemuomba Mhe. Mkuu wa Mkoa kusimamia kikamilifu uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, akisema kuwa kupatikana kwa viongozi sahihi na wasiojihusisha na rushwa ni sehemu ya kuharakisha maendeleo ya mkoa wa Arusha.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa