• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

LIPENI KODI KWA WAKATI NA KWA HIARI

Posted on: March 14th, 2019

Walipakodi wa Mkoa wa Arusha watakiwa kulipa kodi  kwa wakati na kwa hiari ili kupeleka mbele gurudumu la maendeleo ya nchi yetu.

Yamesemwa hayo na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega kwaniaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika ufunguzi wa warsha ya walipakodi wakubwa wa mkoa wa Arusha.

Amesema ulipaji kodi kwa wakati na kwa hiari unaisadia serikali katika kutatua matatizo mbalimbali ya watanzania wa kawaida na wa hali ya chini ya maisha ili waweze kupata matumaini mapya katika maisha yao.

Kwitega amesema, ulipaji wa kodi unasaidia kubadili mfumo wa uchumi kuwa wa kipato cha kati kwa kukuza sekta ya viwanda ili kuongeza ajira hususani kwa vijana wetu.

Pia, kodi husaidia kuboresha huduma muhimu za jamii kama Barabara,Maji, Safi,Umeme wa uhakika na huduma za afya na pembejeo bora kwa wakulima.

Ametoa wito kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufanyakazi kwa kuzingatia sheria za kodi,weledi, uwajibikaji na uadilifu wa hali ya juu na wachukue hatua stahiki kwa wale wote wanaokwepa kulipa kodi lakini bila kuonea mtu.

Akitoa taarifa fupi ya maboresho ya mifumo ya ulipaji kodi Mkurugenzi wa mamlaka ya mapato Tanzania tawi la Arusha bwana Faustine Mdesa amesema TRA imeboresha mifumo ya ulipaji kama vile kodi ya zuio kwa njia ya mtandao  ambayo imerahisha malipo na upatikanaji wa vyeti vya malipo.

Bwana Mdesa amesema pia, kuna maboresho ya sheria ya ushuru wa bidhaa ili kuongeza tija katika usimamizi wa ukusanyaji wa mapato yatokanayo na rasilimali za Taifa.

Amesisitiza zaidi faida kubwa ya maboresho hayo kumeongeza ufanisi wa utunzaji wa kumbukumbu za kodi ya zuio kwani sasa malipo yote ya kodi ya zuio huingia moja kwa moja kwenye akaunti ya mlipakodi husika.

Na wahusika wote hupata vyeti vya zuio pindi tu malipo yanapofanyika benki.

Mamlaka ya Mapato Tanzania wamekutana na walipa kodi wakubwa wa Jijini Arusha kwa lengo la kuwapa elimu zaidi juu ya maboresho ya mifumo ya malipo ya kodi iliyofanywa na mamlaka hiyo.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa