• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MAADHIMISHO YA MIAKA 2 YA MAMA SAMIA AKIWA MADARAKANI

Posted on: March 19th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amesema lengo la zoezi la upandaji Miti ni kumuunga Mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu katika juhudi za kutunza mazingira.

Ameyasema hayo alipokuwa akihitimisha maadhimisho ya miaka miwili ya Rais Samia tokea akiwa madarakani.

Kupitia jitihada alizofanya za kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya nchi yetu.

Pia, ameweza kujenga Madarasa yakutosha ili kuwaweza wanafunzi wawe na mazingira mazuri yakusoma.

Ameweza pia kukuza Demokrasia ya  Mahusiano ya Kimataifa kwa kuitambulisha nchi.

Kwa upande wa Mkoa wa Arusha katika  miaka hii 2 fedha za miradi ya maendeleo iliyotolewa na Halmashauri ni takribani Bilioni 50 sawa na 86.9%, ngazi ya Mkoa Bilioni 2.5 zilipokelewa kwa ajili ujenzi wa Nyumba za Maafisa Tarafa.

Sekta ya afya ilipata Bilioni 27.5,Sekta ya Elimu ilipata Bilioni 24.4, Sekta ya Maji (RUWASA) wamepokea Bilioni 11.8,katika Sekta ya Umeme jumla ya Vijiji 290 kati ya 394 vimeshapatiwa umeme na kiasi cha Bilioni 58.9 zimepokelewa kwa ajili yakuendelea kusambasa umeme maeneo mbalimbali.

Vile vile katika sekta ya Barabara (TARURA) wamepokea fedha Bilioni 42 kwa ajili ya kutengeneza barabara mbalimbali,TANROADS nao walipokea Bilioni 586.9.

Serikali ya awamu ya Sita katika kuwawezesha wananchi kiuchumi (TASAF) Mkoa ilipokea Bilioni 30.9 na miradi mbalimbali imeweza kutekelezwa ikiwemo ujenzi wa Madarasa, Mtundu ya vyoo, Mabweni, Mabwalo ya chakula, Ofisi za Walimu na Nyumba zao.

RC Mongella amesema kwa juhudi hizo za Mhe.Rais Samia Mkoa wa Arusha unajivunia mafanikio makubwa sana hasa katika Sekta ya Utalii imekuwa kwa kiasi kikubwa kutokana na Filamu ya "The Royal Tour" iliyofungua milango ya watalii wengi kuja Mkoani humo.

Maadhimisho ya miaka 2 ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwepo madarani, Mkoa wa Arusha umeadhimisha kwa wiki nzima ambapo yalizinduliwa  13 Machi,2023 kwa kuzindua Kitabu kilichoelezea mafanikio ya miaka miwili, ikifiatiwa na shughuli mbalimbali za michezo na kuhitimishwa 19 Machi, 2023 kwa zoezi la upandaji Miti.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa