• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAPAMBANO YA RUSHWA BARANI AFRIKA YAZINDULIWA, JIJINI ARUSHA.

Posted on: July 9th, 2023


Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Hemed Suleiman Abdulla amezitaka nchi za Afrika kuwa na msimamo mmoja katika kupiga vita Mapambano dhidi ya rushwa .

Hayo yamesemwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwaniaba ya Rais Ally Hussein Mwinyi, Jijini Arusha.

Alisema  katika kuonyesha dhamira ya dhati ya mapambano hayo Tanzania ilikuwa ni nchi ya mwanzo kusaini na kuridhia mkataba wa  mapambano dhidi ya Rushwa wa mwaka 2003.

Alisema rushwa inamadhara kwa kila mmoja na kutoa rai kwa watu mbalimbali kupunguza tatizo hilo la rushwa Barani Afrika ili kuongeza kasi ya Maendeleo ya nchi mbalimbali.

Alitoa rai kwa wananchi  kushiriki katika maonesho ya mabanda mbalimbali sanjari na utoaji wa taarifa za masuala ya rushwa ili kudhibiti rushwa nchini.

"Rushwa ni adui wa haki kila mmoja anawajibu wa kuikataa rushwa ikiwemo wananchi kutoa taarifa za masuala ya rushwa na naomba wakurugenzi wa Taasisi mbili za Kupambana na Rushwa kuendelea kushirikiana kwani Tanzania tumefikia hatua nzuri katika kuyashinda mapambano dhidi ya rushwa.

Ambapo Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)Salum Hamduni alisema siku hiyo Maalum yanatokana na maazimio ya Mkataba wa  Umoja wa Afrika wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa mwaka 2003 unaofikisha umri wa miaka 20 .

 Alisema maadhimisho hayo yanajumuisha washiriki 700 kutoka ndani na nje ya Tanzania ambapo awali wananchi mbalimbali na viongozi walitembea matembezi ya amani ya kilomita 2 ya kupinga masuala ya Rushwa Barani Afrika.

Pia mabanda yalipo katika maadhimisho hayo yanatoa elimu mbalimbali kuhusu masuala ya rushwa na uhujumu uchumi ikiwemo kupinga matumizi ya madawa ya kulevya pia kutakuwa na kongamano la masuala ya rushwa hapo kesho ambapo Waziri Simbachawene atakuwa mgeni rasmi

Naye  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba ,Sheria,Utumishi na Utawala Bora wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Haroun Ali Suleiman alishukuru ushirikiano uliopo kati ya Zanzibar na Tanzania na kusisita ushirikiano huo uendelee kudumu ili kuleta tija zaidi katika masuala ya maendeleo.

Huku Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene alisema Tanzania ipo tayari kushirikiana na nchi nyingine kuhakikisha mkataba wa Umoja wa Afrika wa kupambana na Rushwa unatekelezwa.

Alisema wakuu wa Nchi walichagua siku hiyo kwakujerea siku maalum ya nchi za Bara la Afrika ambapo huathimishwa kwa kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo elimu dhidi ya rushwa kupitia vyombo vya habari,makongamano mbalimbali ili kutoa ujumbe wa masuala ya rushwa.

Alisisitiza kuwa mamlaka hizo zitapeana uzoefu na kubadilishana taarifa mbalimbali za masuala ya rushwa katika Bara la Afrika.

Awali, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella aliahidi ulinzi na usalama kuimarishwa na kusisita washiriki wa mkutano huo kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Jijini Arusha .

Maadhimisho ya Siku ya Mapambano ya Rushwa Barani Afrika yaliyoanza Julai 9 -11,2023 yenye kauli mbiu ya "Mafanikio ya miaka 20 ya Umoja wa Afrika wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa"


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa