• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MAAFISA RASILIMALI WATU WA UMMA NA BINAFSI WATAKIWA KUZINGATIA MASUALA YA UTAWALA BORA

Posted on: November 7th, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Serikali imewataka Wasimamizi na Maafisa Rasilimali watu wa Sekta ya Umma na binafsi barani Afrika wazingatie swala la Utawala bora, utumishi wa umma wenye tija katika kusimamia rasilimali watu ili kutoa huduma bora na kudumisha Imani ya  Wananchi kwa Serikali zao barani Afrika.


Rai hiyo imetolewa na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria Utawala Bora wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Haroun Ally Suleiman wakati akifunga Kongamano la 9 la Wasimamizi na Maafisa Raslimali Watu Barani Afrika kwenye Ukumbi wa mikutano ya kimataifa AICC, Mkoani  Arusha, Novemba 06, 2024.


Waziri Haroun amesema kuwa, anaamini mbinu na maarifa waliyoyapata kwenye mkutano huo kuhusu mpango wa uwezeshaji, madaraka, uwajibikaji na uwazi katika Utumishi wa umma na maswala ya usimamizi wa rasilimali watu katika kukuza usimamizi utoaji huduma kupitia ushirikiano wa Sekta ya umma na binafsi utawezesha kutolewa huduma bora na kwa wakati, ukawawezesha kuzingatia na kutekelza masuala ya utawala bora katika maeneo yao ya kazi.


"Kauli Mbiu ya Utawala stahilivu na ubunifu katika kukuza Sekta ya Umma kupitia uongozi wa Raslimali watu, tunategemea  ikalete mafanikio makubwa ya kijamii na kiuchumi kwenye maeneo yetu ya kazi". Amesema Mhe. Horoun


Amesisitiza kuwa, Mameneja na Maafisa Rasilimali watu hivyo waende wakazisaidie zisaidia Serikali zao kwenye maeneo muhimu waliyojengea uwezo kuhusua usimamizi raslimali watu Utawala imara,ubunifu na usimamizi wa hifadhi na kwa ajira endelevu zenye ushindani na mchakato wa ajira kwenye njia ya kidigitali katika Utumishi wa umma.


Hata hivyo, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Rais wa Mtandano wa Mameneja Rasilimali watu Sekta ya Umma Afrika (APS- HRMnet) Xavery Daudi, amesema kuwa, wamepata fursa ya kujadili changamoto wanazokutana nazo na namna ya kuzitatua  na kusisitiza, Uongozi unaendelea kuhamasisha usitawi wa Jumuiya hiyo barani Afrika.


Ameweka wazi kuwa, lengo la Kongamano hilo la siku tatu lilikuwa ni  kuwawezesha  Wasimamizi na Maafisa Rasilimali watu hao, kutoka nchi  wanachama kubadilisha uzoefu, kujifunza na kupata uelewa mpana na mwelekeo wa kidunia katika usimamizi wa raslimali watu  na maendeleo makubwa ya kiteknolojia yanayoshuhudiwa kupitia mawasiliano.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa