• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO (UTI), MALARIA, SABABU YA UGONJWA WA FIGO...

Posted on: June 25th, 2024

Tafiti zinaonesha ongezeko kubwa la ugonjwa wa figo, licha ya kutokana na magonjwa mengine mengi, mabukizi kwenye njia ya mkojo (UTI) na ugonjwa wa Malaria imeonekana ni sababu ya ugonjwa wa figo, hivyo, watanzania wametakiwa kujinga ili kupambana na maambukizi ya magonjwa hayo.


Akizungumza kwenye Kliniki maalum ya Matibabu ya Madakari Bingwa na wabobezi inayozndelea Mkoani Arusha, ikiwa ni siku ya pili ya kliniki hiyo, Daktari bingwa wa magonjwa ya Figo kutoka Hospitali ya Saifee Jijini Dar Es salaam Dkt. Mercy Mamunyi, ameweka wazi kuwa, magonjwa ya figo yanatokana na maambukizi kwenye njia ya mkojo pamoja na ugonjwa wa malaria na kuwaaka watanzania kuchukua tahadhari kubwa kwa magonjwa hayo.


Pia, Dkt. Mercy ameutaja ukanda wa Kaskazini kuwa ni miongoni mwa Kanda zinazoongoza kwa magonjwa ya Shinikizo la juu la damu pamoja na kisukari, Magonjwa ambayo yamekuwa sababu ya kuongezeka kwa hatari ya kupata magonjwa ya figo kwa watu wengi.


Aidha, ameshauri Watanzania kuchukua tahadhari ya matumizi ya dawa za kienyeji kupitiliza, kutotumia dawa za hospitalini bila ushauri wa daktari, zaidi kuwa na utamaduni wa kupima afya mara kwa mara ili kujitambua na kupata matibabu ya haraka na kwa gharama nafuu na kuepukana na madhara zaidi.


Kwa mujibu wa Utafiti wa Shirika la India Nephrology, watu Milioni 84 duniani kote wanatajwa kuwa wanaugua magonjwa ya figo huku shirika la Afya duniani WHO likitaja magonjwa ya figo kuwa nafasi saba kati ya kumi kwenye kusababisha vifo vya watu wengi zaidi duniani kutokana na kutozingatiwa kwa dalili za mwanzoni za ugonjwa huo.


Ikiwa ni siku ya pili ya Kambi maalum ya Matibabu bure inayoendelea kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Jijini Arusha, kambi iliyoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, chini ya uongozi mahiri wa Mhe.Paul Christian Makonda @baba_keagan maelfu ya wananchi wameendelea  kunufaika kwa kupata huduma za vipimo, matibabu na dawa bure ikiwa ni utekelzaji wa agizo la Mhe. Rais Dkt. @samia_suluhu_hassan la kusogeza huduma za aya karibu na wananchi hususani wasio na uwezo wa kumudu gharama kubwa za matibabu ya madaktari bingwa.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa