Viongozi mbalimbali kutoka kushoto ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, wakiwa kwenye Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, inayofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Enguik, Kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli leo 12, Aprili, 2024.
Maelfu ya wananchi wakiwa kwenye Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, iliyofanyika nyumbani kweke kijiji cha Enguik, kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli, leo tarehe 12 Aprili, 2024.
Wazee Wastaafu Mzee Stephene Wasira na Mzee Yusuph Makamba wakizungumza muda mfupi kabla ya kuanza Ibada Maalum ya Kumbukizi ya Miaka 40 ya Kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, iliyofanyika nyumbani kwake kijiji cha Enguik kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli Aprili 12,2024
Mama Regina Lowassa ameungana na Wageni na viongozi mbalimbali kushiriki Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokine, inayofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Enguik, Kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli leo 12, Aprili, 2024.
Wageni na viongozi mbalimbali Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Abdulrahaman Kinana, akizungumza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) (kushoto) na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Mosses Nnauye (kulia), muda mgupi kabla ya kuanza Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, inayofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Enguik, Kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli leo 12, Aprili, 2024
Askofu wa Kanisa la Rise & Shine Boniface Mwamposa ameungana na wagene na viongozi mbalimbali wa dini, chama na Serikali, kushiriki Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokine, inayofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Enguik, Kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli leo 12, Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume ambaye pia alihudhuria Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine. Ibada hiyo ya Misa Takatifu imefanyika nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, muda mfupi baada ya kukamilika kwa Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa serikali ya awamu ya kwanza Hayati Edward Moringe Sokoine, leo Aprili 12, 2024 nyumbani kwake kaijiji cha Enguik kata ya Minduli Juum wilaya ya Monduli.
Mheshimiwa Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan atashiriki ibada hiyo inayongozwa Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha Askofu Issac Aman.
Hayati Edward Moringe Sokoine alifariki tarehe 12 Aprili, 1984 ambaye sasa imetimia miaka 40 ya kifo chake.
#arushafursalukuki
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa