• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

MAMA GODSON: "MWILI WA MWANANGU UNAOZA NA KUVUNJIKA VIPANDE VIPANDE"

Posted on: June 29th, 2024


 *Afunga safiri kutoka Mbeya, kufuata huduma Kambi ya Madaktari Bingwa na Wabobezi Arusha* 


 _Aanza kupata Matibabu, kusafirishwa kwenda Muhimbili kwa gharama za serikali._ 


Mama mzazi wa mtoto Godson, anayesumbuliwa na kuoza viungo vya mwili wake, amelazimika kusafiri 

zaidi ya 1000 kutoka Mbeya mpaka mkoani Arusha kwa lengo la kutafuta huduma ya  matibabu ya kibingwa, hatimaye kutua kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta na kukutana na Kambi ya matibabu inayoratibiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda.


 Familia ya Isaac Mwasakapwela wanauguza mtoto  Godson kwa miaka saba sasa, akisumbuliwa na matatizo ya kuoza viungo vya mwili pamoja na kuchomoka kwa vipande vya nyama na mifupa, kiasi cha kutoa harufu mbaya inayosababisha kufukuzwa kwenye nyumba wanazopanga.


"Mume wangu ambaye ni baba wa mtoto huyu, alinikimbia baada ya kuona mtoto wetu ananyofoka ulimi, anadondosha masikio, miguu inaoza na kudondoka, mifupa inachomoka nikawa naiokota tu na akioza namkata kwa kiwembe na kutupa sehemu zinazooza. Akanikimbia yule mwanaume" amesema mama wa mtoto huyo Bi. Joyce Mwaipopo


"Kusema ukweli sijawahi kupokelewa vizuri kama hivi leo tangu mwanangu alipoanza kuumwa miaka saba iliyopita. Sijawahi! Naona wenzangu wamebahatika sana kwa Mungu kuwapa huyu baba (Paul Makonda) ili kuwasaidia. Mkuu wa wilaya yangu ananifahamu, Mkuu wa mkoa wangu ananifahamu lakini sikuwahi kufanikiwa kama  hivi." Ameongeza Bi Joyce.


Katika hatua nyingine pia Familia hiyo inayoendeshwa na Bwana Isaac ambaye ni Dereva wa Bodaboda, wameshukuru kwa vipimo walivyovipata kwenye Kambi ya Matibabu inayoendelea kwenye viwanja vya Sheikh Amri Abeid wakisema wamekuwa wakihangaika kutafuta fedha za kufanya vipimo hivyo kwa miaka saba bila ya mafanikio yoyote.

May be an image of 7 people

May be an image of 5 people and child

May be an image of 3 people

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa